Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

HIZI HAPA DK 270 ZIJAZO ZA FOLZ KUJITETEA NDANI YA YANGA….AKIZINGUA HAPA ANASEPESHWA…

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/25 Yanga SC wana dakika 270 za kazi ndani ya Oktoba kwa mechi tatu za ushindani uwanjani. Hizo ni mechi tatu za kazi kwa Yanga SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Romain Folz ambaye amekiongoza kikosi hicho kwenye mechi sita bila kuambulia kipigo. Kwenye mechi hizo sita, tano Folz alishuhudia Yanga SC ikishinda na mechi moja walitoshana nguvu ilikuwa dhidi ya Mbeya City iliyochezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya Septemba 30 2025. Katika mechi hizo tatu, watacheza mechi mbili za Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Silver Strikers ya Malawi mchezo wa kwanza itakuwa ugenini Malawi kati ya tarehe 17-19 na ule wa marudiano utapigwa nyumbani kati ya tarehe 24-26. Mchezo mmoja ni wa ligi ya NBC itakuwa dhidi ya Mtibwa Sugar Oktoba 29 2025 Uwanja wa Mkapa katika msako wa pointi tatu muhimu. The post HIZI HAPA DK 270 ZIJAZO ZA FOLZ KUJITETEA NDANI YA YANGA….AKIZINGUA HAPA ANASEPESHWA… appeared first on Soka La Bongo.

Makonda: Dkt. Samia Amebarikiwa na Mungu, Atapata Miaka Mitano Tena

Arusha, Oktoba 2, 2025 – Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Paul Makonda, amemwagia sifa Mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisema hatakiwi kukatishwa tamaa kwa maneno ya wapinzani, kwani urais wake ni kwa mapenzi ya Mungu na atapewa ridhaa ya kuongoza tena kwa miaka mitano ijayo. Akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni za CCM Jijini Arusha, Makonda alisema: “Yapo maneno ya kukukatisha tamaa na kukuvunja moyo. Nakuhakikishia, umekaa kwenye kiti cha Urais kwa mapenzi ya Mungu, na Mungu atakupa tena miaka mitano ya kuendelea kuongoza Taifa letu la Tanzania.” Makonda pia alimpongeza Dkt. Samia kwa kufanya kampeni zake binafsi bila kutegemea nguvu za mtu, akibainisha kuwa wapiga kura ndiyo “Godfather” wake halisi. “Nimefurahi sana kukuona unazunguka mwenyewe na kutafuta kura zako. Huna Godfather, Godfather wako ni wapiga kura wa Tanzania ambao tayari wameonesha utayari wa kutiki jina lako,” alisema Makonda huku akishangiliwa na wananchi. Kauli hiyo imeibua shangwe kubwa kwenye mkutano huo, ikiwa ni sehemu ya kuongeza hamasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Air Tanzania yatangaza ajira mpya 173

Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limetangaza nafasi 173 za ajira, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kulipanua na kulipa nguvu zaidi shirika hilo ndani na nje ya Afrika. ATCL, inayomilikiwa na Serikali, inatafuta marubani wapya, wahudumu wa ndege na wafanyakazi wa ardhini, ikiwa ni utekelezaji wa Mpango wa Mkakati wa Miaka Mitano. Mpango huo unalenga kupanua njia za safari na kuendeleza mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha muongo uliopita. Kulingana na tangazo hilo, nafasi zilizopo ni pamoja na marubani wakuu 23, marubani wasaidizi 45, wahudumu wa ndege 100 (ikiwemo 20 wenye ujuzi wa lugha ya Kifaransa na Kichina), mhasibu mmoja na wasaidizi wa mizigo 4. Aidha, Shirika hilo limetangaza mwisho wa kutuma maombi hayo ni Oktoba 14, mwaka huu. Ajira hizo zinakuja wakati ATCL ikiendelea kupanua huduma zake za kimataifa, ambapo tayari inafanya safari za ndege kwenda Guangzhou (China), Mumbai (India), Dubai (UAE), pamoja na mtandao wa safari za kikanda na za ndani. The post Air Tanzania yatangaza ajira mpya 173 appeared first on SwahiliTimes.

BENKI YA NMB YAZINDUA TAWI MAALUM LA NMB TINDE  MNADANI

Na Mwandishi wetu, Shinyanga BENKI ya NMB imezindua tawi maalum la NMB Tinde Mnadani mkoani Shinyanga ikiwa ni sehemu ya kuzingatia dhamira yake ya muda mrefu ya kusambaza huduma za kifedha kwa jamii ambazo hazijafikiwa. Uzinduzi huu umeambatana pamoja na uzinduzi wa matawi mengine maalum ya Itobo(Nzega, Tabora), Iboregero(Igunga, Tabora), Mkongeni(Mvomero, Morogoro) na Dosidosi(Kiteto, Manyara) Akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi hilo ,Afisa Mkuu wa wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi ameeleza kuwa Benki hiyo inatambua nafasi muhimu ya minada ya mifugo katika uchumi wa vijijini na uwepo wake katika mnada wa Tinde unaashiria utoaji wa huduma za kifedha na dhamira ya Benki ya NMB kusogeza huduma hizi kwa kila mtanzania huku wakiziwezesha jamii ambazo kihistoria zimekuwa zikikabiliwa na vikwazo vya kufikiwa na huduma za kifedha. Amesema eneo hilo la kimkakati la Tawi hili jipya maalum linalenga kuleta mapinduzi katika hali ya kifedha ya wafanyabiashara na wafugaji kwa kutoa huduma salama, rahisi na zenye ufanisi huku zikirahisisha na kuboresha shuguli zao kwa maslahi makubwa ya uchumi wa binafsi na wa mkoa wa Shinyanga kwa ujumla. “Kwa kuanzisha tawi hili maalum ndani ya mnada wa Tinde, tunatatua changamoto za moja kwa moja za matumizi makubwa ya pesa taslimu kwa kituo hiki kitatoa huduma kamili, zikiwemo kuweka pesa na kutoa pesa, kufanya miamala mbalimbali, programu za elimu ya kifedha hususani zeney mlengo wa ufugaji na mkopo maalum iliyoundwa kuongeza tija ya mifugo na biashara kwa ujumla, ” Mponzi alisema. Ameongeza kuwa, kabla ya hapo washiriki wa minada ya mifugo, wanunuzi na wafanyabiashara walilazimika kubeba pesa taslimu ili kuweza kufanya manunuzi au baada ya mauziano ya bidhaa. Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga na Mgeni Rasmi wa hafla hiyo, Dk Kalekwa Kasanga “Uwekezaji huu wa Benki ya NMB utakuwa na faida kubwa kwa jamii yetu. Kwa kutoa njia salama na rahisi za kusimamia fedha, kupitia tawi hili maalum, uchumi wa Tinde utazidi kuimarika na watu wengi watanufaika zaidi na huduma hizi za kifedha na hivyo tutatengeza fursa za ajira na kuboresha hali ya jumla ya maisha kwa wakazi wetu.” Dk.Kasanga alisema. “Kwa upatikanaji wa mikopo na fursa ya kuweka akiba, wafugaji wataweza kuwekeza katika mifugo iliyoboreshwa, lishe bora na mbinu za kisasa za ufugaji, na hivyo kusababisha tija kubwa na kuongeza kipato. Hii pia itachochea mahitaji ya bidhaa na huduma nyingine, na kujenga mzunguko mzuri wa ukuaji wa uchumi,” aliongeza. Naye mfanyabiashara na mfugaji kutoka Tinde, Gerald Mwandu ameishukuru benki ya NMB kwa kujenga kituo hicho katika kata ya Tinde. Amewaomba wafugaji, wakulima na Wafanyabiashara kutumia huduma za benki mbalimbali za benki ya NMB.

HIZI HAPA DK 270 ZIJAZO ZA FOLZ KUJITETEA NDANI YA YANGA….AKIZINGUA HAPA ANASEPESHWA…

Makonda: Dkt. Samia Amebarikiwa na Mungu, Atapata Miaka Mitano Tena

PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 03, 2025

Air Tanzania yatangaza ajira mpya 173

BENKI YA NMB YAZINDUA TAWI MAALUM LA NMB TINDE  MNADANI

Lastest News

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

Mfahamu Wakili Bagachwa Na Maono Ya Kuiona Missenyi Mpya

  • 18 Jul 2025
  • 94
Read more News

Burudani

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

JENISTA MUHAGAMA AKIJUMUIKA NA WANA PERAMIHO

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 36
Read all News
© Image Copyrights Title

JENISTA MUHAGAMA AKIJUMUIKA NA WANA PERAMIHO

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 36
© Image Copyrights Title

USUSI WATAJWA KAMA FURSA YA AJIRA KWA VIJANA

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 60
© Image Copyrights Title

GUMZO LA JIJI. KWA SASA NI AMARULA SUNDOWN SESSIONS

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 46
© Image Copyrights Title

MSANII BILL NASS ALIVYOWAIMBISHA WANANCHI KONDOA

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 66
© Image Copyrights Title

WAZIRI DKT. GWAJIMA AMWAKILISHA SPIKA WA BUNGE DKT. TULIA AKSON KWENYE HAFLA YA MISS UNIVERSE TANZANIA, 2025,

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 74
© Image Copyrights Title

WAZIRI MWITA AWATAKA WANAMITINDO KUIWAKILISHA VEMA NCHI KATIKA LUGHA YA KISWAHILI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 109
© Image Copyrights Title

“KAMA WAO” YAINGIA MTAANI! MUGGA MO NA BANDO MC WAPIGA KAZI SAFI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 217
© Image Copyrights Title

ADONIJAH OWIRIWA ,  MTAYARISHAJI MKUU WA FESTAC ’77, ANASEMA

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 84
© Image Copyrights Title

BASATA YA WAJENGEA UELEWA WA MIFUMO KUSOMANA MAAFIA UTAMADUNI NA BIASHARA MARA 

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 79
© Image Copyrights Title

MAJALIWA: SANAA INAMCHANGO MKUBWA KATIKA KUKUZA UCHUMI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 77

Michezo

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

HIZI HAPA DK 270 ZIJAZO ZA FOLZ KUJITETEA NDANI YA YANGA….AKIZINGUA HAPA ANASEPESHWA…

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 5
Read all News
© Image Copyrights Title

HIZI HAPA DK 270 ZIJAZO ZA FOLZ KUJITETEA NDANI YA YANGA….AKIZINGUA HAPA ANASEPESHWA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 5
© Image Copyrights Title

KUHUSU KUWA KOCHA SIMBA,YANGA…NABI KAGUNA KIDOGO KISHA AKATAJA WAPI ANAENDA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 6
© Image Copyrights Title

PAMOJA NA KUSEPA ZAKE BONGO…..FADLU ATAJA MAMBO 3 SIMBA….WAKIFELI NDIO BASI TENA….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 6
© Image Copyrights Title

KUHUSU KUCHEZA VIBAYA…..YANGA TATIZO LIKO HAPA….KOCHA WA CAF AFICHUA A-Z….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 7
© Image Copyrights Title

BAADA YA KUWA KOCHA WA SIMBA KWA MECHI 1….MOROCCO AFICHUA MAZITO..’MAZINGIRA MAGUMU’…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 22
© Image Copyrights Title

MRITHI WA FADLU SIMBA HUYU HAPA….KOCHA WA MAN UNITED ATAJWA….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 32
© Image Copyrights Title

KISA NAMBA YA KUCHEZA… ‘TSHABALALA’ KASHALIANZISHA KWA BOKA HUKO YANGA…ISHU YAKE HII HAPA..

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 29
© Image Copyrights Title

KUHUSU SOKA ‘MAKANDE’ LA FOLZ ….TAMKO LA MABOSI YANGA HILI HAPA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 28
© Image Copyrights Title

RASMI…..FADLU ATOA YA MOYONI KUSEPA SIMBA….ATAJA VIONGOZI…ISHU YA FEI TOTO…..

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 27
© Image Copyrights Title

HIZI HAPA TAMU & CHUNGU ZA FADLU NDANI YA SIKU 444 ZA FADLU AKIWA NA SIMBA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 30
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook