Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kwa nini Rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila amehukumiwa kifo? Katika Dira ya Dunia TV

Mahakama ya kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetoa hukumu ya kifo kwa rais wa zamani Joseph Kabila kutokana na makosa kadhaa, ikiwemo uhalifu wa kivita. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw

Benki ya Exim Ikishirikiana na Mind Matters Yaunga Mkono Mafanikio ya Wanawake Kupitia Mafunzo ya ‘Mindful Leadership’

Benki ya Exim Tanzania, kupitia Mpango wake wa Kuwawezesha Kiuchumi Wanawake (Women Empowerment Program – WEP) chini ya ‘Exim Cares’, imejitokeza kama Mdhamini Mkuu wa Mafunzo ya ‘Mindful Leadership Training for Women’. Mafunzo haya yanawaleta pamoja viongozi zaidi ya 150 wa kike kutoka sekta mbalimbali za biashara, elimu, na sekta za umma, huku yakilenga kuimarisha uongozi wa kina, akili ya hisia, ustahimilivu, na ubunifu. Mafunzo haya yatatolewa katika awamu tatu: 27 Septemba, 4 Oktoba, na 11 Oktoba 2025. Kila darasa litahusisha mafunzo ya mazoezi ya vitendo, huku washiriki wakipata nafasi ya kubadilishana mawazo na kupewa uizoefu kutoka kwa wataalam wa uongozi. Akizungumza kuhusu mpango huu, Mkuu wa Idara ya Masoko na mawasiliano wa Benki ya Exim Stanley Kafu, alisema, “Tunafurahia kushirikiana na Mind Matters katika mpango huu muhimu unaolenga kukuza uongozi wa wanawake. Kupitia WEP, tunatoa fursa kwa wanawake kupata ujuzi wa ujasiriamali, ustahimilivu, na uwezo wa kuongoza hisia binafsi, jambo linalowasaidia kustawisha maisha yao, familia zao, na jamii zao kwa ujumla.” Meneja Mkuu wa Masoko na Mwasiliano wa Benki ya Exim Kauthar D’souza, aliongeza,“Usambazaji wa ujuzi huu ni kielelezo cha jitihada zetu za kudumisha usawa wa jinsia na kuwekeza katika wanawake ili waanzishe mabadiliko chanya. Mpango huu unaungana moja kwa moja na mradi wa WEP unaolenga kuendeleza ujasiriamali, kuimarisha uwezo, na kutoa fursa sawa kwa wanawake katika kila nyanja ya maisha. Na ndio maana tukaamua kuungana nao” Meneja Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Kauthar D’souza akizungumza na wanawake waliojiunga na mafunzo ya ‘Mindful leadership’ kwa ushirikiano na Mind Matters yenye lengo la kuwaendeleza wanawake katika ujasiriamali , kuimarisha uwezo, na kutoa fursa sawa kwa wanawake kwenye kila nyanja za maisha. Mafunzo haya yatakua na jumla ya awamu tatu, yakilenga kuwanufaisha wanawake 150. Tukio hili limefanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam. Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi wa Mind Matters Nadia Ahmed alisema, “Tunashukuru sana kwa ushirikiano huu na Benki ya Exim. Mafunzo ya ‘Mindful Leadership’ ni zaidi ya kujenga uongozi; ni kubadilisha maisha ya wanawake, kuongeza ustahimilivu wao, na kuimarisha jamii zao. Ushirikiano huu unaleta thamani ya moja kwa moja kwa wanawake zaidi ya 150, na ni hatua kubwa katika kuendeleza uongozi wa wanawake Tanzania.” Mafunzo haya ya ‘Mindful Leadership’ yanaunga mkono wa juhudi za Exim Bank za kudumisha mpango wa WEP uliopangwa kwa muda mrefu, ambapo lengo ni kuifikia idadi kubwa ya wanawake zaidi ya 600,000 ifikapo mwaka 2028. Programu hii inajumuisha mafunzo, mikutano, uwezo wa kuongoza hisia binafsi, na mitandao ya kibiashara ili kuhakikisha wanawake wanapata motisha, ujuzi, na rasilimali zinazohitajika kufanikisha maisha yao binafsi na ya jamii kwa ujumla. Kwa kuwekeza katika mpango huu, Exim Bank inathibitisha nafasi yake kama kiongozi wa kuunga mkono uwezeshaji wa wanawake na maendeleo endelevu, huku ikichangia moja kwa moja katika maendeleo ya jamii na uchumi wa Tanzania. Ushirikiano huu wa kimkakati unaendana na malengo ya Exim Bank ya kukuza maendeleo ya kijamii na kiuchumi, sambamba na Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050. The post Benki ya Exim Ikishirikiana na Mind Matters Yaunga Mkono Mafanikio ya Wanawake Kupitia Mafunzo ya ‘Mindful Leadership’ appeared first on SwahiliTimes.

Nafasi 24 za Ajira Serikalini

https://portal.ajira.go.tz/vacancies The post Nafasi 24 za Ajira Serikalini appeared first on SwahiliTimes.

JENISTA MUHAGAMA AKIJUMUIKA NA WANA PERAMIHO

Mgombea Ubunge katika Jimbo la Peramiho Jenista Mhagama Septemba 27, 2025 akiwa anacheza ngoma ya Kioda katika Kijiji cha Serakano Kata ya Liganga Wilaya ya Songea Vijijini. Jenista Mhagama anafanya kampeni za kunadi sera za Chama Cha Mapinduzi CCM kupitia Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2025 -2030 kwenye kila Kijiji ndani ya Jimbo la Peramiho na kuomba ridhaa ya CCM kuendelea kuiongoza Serikali katika kipindi cha miaka mitano 2025-2030.

PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 01, 2025

Kwa nini Rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila amehukumiwa kifo? Katika Dira ya Dunia TV

Benki ya Exim Ikishirikiana na Mind Matters Yaunga Mkono Mafanikio ya Wanawake Kupitia Mafunzo ya ‘Mindful Leadership’

Nafasi 24 za Ajira Serikalini

JENISTA MUHAGAMA AKIJUMUIKA NA WANA PERAMIHO

Lastest News

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

Mgogoro Wa Nyumba Msasani: Mjane Aomba Zuio La Muda

  • 26 Sep 2025
  • 28
© Image Copyrights Title

Rais Mstaafu wa Ufaransa Ahukumiwa Miaka Mitano Gerezani

  • 26 Sep 2025
  • 18
© Image Copyrights Title

Jenerali Mkunda Ampongeza Sajinitaji Simbu 

  • 25 Sep 2025
  • 19
© Image Copyrights Title

Dkt. Nchimbi Alivyohitimisha Kampeni Zake Mkoa wa Njombe

  • 24 Sep 2025
  • 24
Read more News

Burudani

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

JENISTA MUHAGAMA AKIJUMUIKA NA WANA PERAMIHO

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 27
Read all News
© Image Copyrights Title

JENISTA MUHAGAMA AKIJUMUIKA NA WANA PERAMIHO

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 27
© Image Copyrights Title

USUSI WATAJWA KAMA FURSA YA AJIRA KWA VIJANA

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 55
© Image Copyrights Title

GUMZO LA JIJI. KWA SASA NI AMARULA SUNDOWN SESSIONS

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 43
© Image Copyrights Title

MSANII BILL NASS ALIVYOWAIMBISHA WANANCHI KONDOA

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 60
© Image Copyrights Title

WAZIRI DKT. GWAJIMA AMWAKILISHA SPIKA WA BUNGE DKT. TULIA AKSON KWENYE HAFLA YA MISS UNIVERSE TANZANIA, 2025,

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 70
© Image Copyrights Title

WAZIRI MWITA AWATAKA WANAMITINDO KUIWAKILISHA VEMA NCHI KATIKA LUGHA YA KISWAHILI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 107
© Image Copyrights Title

“KAMA WAO” YAINGIA MTAANI! MUGGA MO NA BANDO MC WAPIGA KAZI SAFI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 210
© Image Copyrights Title

ADONIJAH OWIRIWA ,  MTAYARISHAJI MKUU WA FESTAC ’77, ANASEMA

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 81
© Image Copyrights Title

BASATA YA WAJENGEA UELEWA WA MIFUMO KUSOMANA MAAFIA UTAMADUNI NA BIASHARA MARA 

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 78
© Image Copyrights Title

MAJALIWA: SANAA INAMCHANGO MKUBWA KATIKA KUKUZA UCHUMI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 76

Michezo

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

MRITHI WA FADLU SIMBA HUYU HAPA….KOCHA WA MAN UNITED ATAJWA….

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 29
Read all News
© Image Copyrights Title

MRITHI WA FADLU SIMBA HUYU HAPA….KOCHA WA MAN UNITED ATAJWA….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 29
© Image Copyrights Title

KISA NAMBA YA KUCHEZA… ‘TSHABALALA’ KASHALIANZISHA KWA BOKA HUKO YANGA…ISHU YAKE HII HAPA..

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 22
© Image Copyrights Title

KUHUSU SOKA ‘MAKANDE’ LA FOLZ ….TAMKO LA MABOSI YANGA HILI HAPA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 20
© Image Copyrights Title

RASMI…..FADLU ATOA YA MOYONI KUSEPA SIMBA….ATAJA VIONGOZI…ISHU YA FEI TOTO…..

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 20
© Image Copyrights Title

HIZI HAPA TAMU & CHUNGU ZA FADLU NDANI YA SIKU 444 ZA FADLU AKIWA NA SIMBA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 26
© Image Copyrights Title

BAADA YA KUANZA KINYONGE CAF….WASAUZI WA SIMBA WAFUNGUKA YA MOYONI….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 23
© Image Copyrights Title

KOCHA YANGA AMTAJA ALIYEIOKOA SIMBA NA KIPIGO CHA AIBU JUZI….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 47
© Image Copyrights Title

KWA HALI HII…YANGA WANAKAZI YA KUFANYA ANGOLA LEO…WAKIKAA VIBAYA TU CHALII….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 44
© Image Copyrights Title

FURAHA YA KIPIGO CHA SIMBA YAZIMWA GHAFLA YANGA…..FOLZ AWAPA ‘KIJEMBE’ MASTAA..

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 35
© Image Copyrights Title

BAADA YA KUIONA SIMBA YA MSIMU….ALLY KAMWE KAKUNA KICHWA WEEE…KISHA AKASEMA HILI….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 89
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook