Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Dkt. Nchimbi Awasili Mtwara Kuendelea Kusaka Kura za Kishindo za Dkt. Samia

  • 8
Scroll Down To Discover

Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel John Nchimbi leo Alhamisi Oktoba 2,2025 amewasili katika uwanja wa ndege wa Mtwara kwa ajili ya kuanza ziara ya mikutano yake ya hadhara ya kampeni, kusaka kura za ushindi wa kishindo za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan,Wabunge na Madiwani mkoani Mtwara baada ya kuhitimisha mkoa wa Dar es Salaam



Prev Post Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa UDART
Next Post Air Tanzania yatangaza ajira mpya 173
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook