
Picha za matukio mbalimbali za Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwahutubia na kuwanadi baadhi ya Wagombea Ubunge wa mkoa wa Dar es Salaam, akiwemo Mgombea Ubunge wa jimbo la Kinondoni,Ndugu Abbas Tarimba pamoja na Madiwani,kwenye mkutano wake wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Biafra,leo Oktoba 01, 2025.
Dkt. Nchimbi anahitimisha kampeni zake leo kwa mkoa wa Dar es Salaam akifikisha mkoa wa 15 tangu kuzinduliwa kwa kampeni hizo Agosti 28,2025 jijini Dar na kuelekea mikoa mingine kusaka kura za ushindi wa kishindo kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!